Zuchu
19 Songs
Number One
Rayvanny Ft. Zuchu
Shangilia
Hasara
Nobody
Zuchu Ft. Joeboy
Cheche
Zuchu Ft. Diamond Platnumz
Litawachoma
Sukari
(Ayolizer) (Zest is on this beat Ladies and gentlemen)
Mmmh macho yalikuona, moyo ukakuchagua Mdomo ukasema nakupenda aah Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua Maumivu yamekwenda
Mi ni zawadi nilopewa Macho nipepese wapi Mi kipofu kwako sioni
Penzi limetaradadi, napepewa Harufu ya marashi rashi Nikitouch touch shingoni
Hii! Uvae baibui kanga Viatu vya kuchuchumia kangaroo Kisima tui Tanga We huba nifukizia pambe tu
Ukizungushia shanga Inashuka inapanda chini juu Nishatafuna karanga Asa chumba ndo kiwanda watoto tu (Iyee iyee)
My number one, you're my number one My number one, you're my only one My number one, you're my number one My number one, you're my only one
[Zuchu] Lalala, la la la La- la-la mmmh
Hausukumi damu moyo Unasukuma upendo wangu Niko mahabani mambo sawa Sawaa...
Penzi nalimung'unya kibogoyo Nimepata size yangu Yaani nalioga sio kunawa Nawaa...
Firimbi nitapuliza Kuita ndege waje Raha zimefululiza Kwako natokaje?
Hadi bububu umepitiliza Tuko kwa bibi paje Taratibu unaniliza baba
Tulivuruge varanga Chimeneza kunengea kwangaru Nikiandae kitanda Shuka za maua ua ya marooon
Kisha tugonge na venta Mambo ya kujizimbua na varu Nifunge upande kanga Babu Juma we kwarua kwa kwaru
Ooh baby you are my... My number one, you're my number one My one and only...iyeee My number one, you're my only one
Baby my (Baby my) My number one, you're my number one My number one, you're my only one
(Wasafi)
Right Now
Seyi Shay
I'm Blessed
Sinach
Grateful
Ghetto Love
Wizkid
I'm A Miracle
Ada Ehi
Lakutshona Ilanga (Live In Joburg)
The Soil
From Glory To Glory
Good Good Loving
Banky W
Brenda Fassie
Zakwe Ft. Mzulu
YoungstaCPT
Create a new Playlist